×

Na Mwenyezi Mungu hakufanya haya ila kuwa ni bishara kwenu, na ili 3:126 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:126) ayat 126 in Swahili

3:126 Surah al-‘Imran ayat 126 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 126 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿وَمَا جَعَلَهُ ٱللَّهُ إِلَّا بُشۡرَىٰ لَكُمۡ وَلِتَطۡمَئِنَّ قُلُوبُكُم بِهِۦۗ وَمَا ٱلنَّصۡرُ إِلَّا مِنۡ عِندِ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ ﴾
[آل عِمران: 126]

Na Mwenyezi Mungu hakufanya haya ila kuwa ni bishara kwenu, na ili nyoyo zenu zipate kutua. Na msaada hautoki isipo kuwa kwa Mwenyezi Mungu, Aliye tukuka, Mwenye nguvu na Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما جعله الله إلا بشرى لكم ولتطمئن قلوبكم به وما النصر إلا, باللغة السواحيلية

﴿وما جعله الله إلا بشرى لكم ولتطمئن قلوبكم به وما النصر إلا﴾ [آل عِمران: 126]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Hakuuleta msaada huu wa Malaika isipokuwa ni kwa ajili ya kuwapa bishara kwa msaada huo na ili nyoyo zenu zitulie na ziwe nzuri kwa ahadi ya Mwenyezi Mungu kwenu. Na msaada wa hakika unatoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye kushinda Ambaye Hashindwi, Mwenye hekima katika uendeshaji mambo Wake na matendo Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek