Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 127 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿لِيَقۡطَعَ طَرَفٗا مِّنَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓاْ أَوۡ يَكۡبِتَهُمۡ فَيَنقَلِبُواْ خَآئِبِينَ ﴾
[آل عِمران: 127]
﴿ليقطع طرفا من الذين كفروا أو يكبتهم فينقلبوا خائبين﴾ [آل عِمران: 127]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ilikuwa nusura ya Mwenyezi Mungu katika vita vya Badr ni kwa ajili Apate kukiangamiza kikundi cha makafiri kwa kuuawa na yule atakayeokoka na kifo kati yao, basi atarudi akiwa na huzuni, upetwe na dhiki za nafsi yake na unaonekana kwake utwevu na aibu |