×

Sema: Mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume. Na wakigeuka basi Mwenyezi Mungu hawapendi 3:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:32) ayat 32 in Swahili

3:32 Surah al-‘Imran ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 32 - آل عِمران - Page - Juz 3

﴿قُلۡ أَطِيعُواْ ٱللَّهَ وَٱلرَّسُولَۖ فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ ٱلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[آل عِمران: 32]

Sema: Mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume. Na wakigeuka basi Mwenyezi Mungu hawapendi makafiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل أطيعوا الله والرسول فإن تولوا فإن الله لا يحب الكافرين, باللغة السواحيلية

﴿قل أطيعوا الله والرسول فإن تولوا فإن الله لا يحب الكافرين﴾ [آل عِمران: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, «Mtiini Mwenyezi Mungu kwa kufuata Kitabu Chake, na mtiini Mtume kwa kufuata mwenendo wake wakati wa uhai wake na baada ya kufa kwake.Wakiwa watakupa mgongo na kukamaa kwenye ukafiri na upotevu walionao, wao hawatakuwa wanastahili mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Kwani Mwenyezi Mungu Hawapendi makafiri
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek