×

Akasema: Mola wangu Mlezi! Niwekee alama. Akasema: Alama yako ni kuwa hutasema 3:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:41) ayat 41 in Swahili

3:41 Surah al-‘Imran ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 41 - آل عِمران - Page - Juz 3

﴿قَالَ رَبِّ ٱجۡعَل لِّيٓ ءَايَةٗۖ قَالَ ءَايَتُكَ أَلَّا تُكَلِّمَ ٱلنَّاسَ ثَلَٰثَةَ أَيَّامٍ إِلَّا رَمۡزٗاۗ وَٱذۡكُر رَّبَّكَ كَثِيرٗا وَسَبِّحۡ بِٱلۡعَشِيِّ وَٱلۡإِبۡكَٰرِ ﴾
[آل عِمران: 41]

Akasema: Mola wangu Mlezi! Niwekee alama. Akasema: Alama yako ni kuwa hutasema na watu kwa siku tatu, isipo kuwa kwa kuashiria tu. Na mdhukuru Mola Mlezi wako kwa wingi na mtakase jioni na asubuhi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال رب اجعل لي آية قال آيتك ألا تكلم الناس ثلاثة أيام, باللغة السواحيلية

﴿قال رب اجعل لي آية قال آيتك ألا تكلم الناس ثلاثة أيام﴾ [آل عِمران: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Zakariyyā akasema, «Mola wangu, nijaalia alama ambayo itakuwa ni dalili kwangu ya kupata matoto ili nipate kuingiwa na furaha na bashasha.» Akasema, «Alama yako uliyoitaka ni kutoweza kusema na watu kwa siku tatu isipokuwa kwa kuwashiria, pamoja na kuwa wewe uko sawa na mzima. Na katika kipindi hiki, kithirisha kumataja Mola wako na umswaliye katika nyakati za mwisho wa mchana na mwanzo wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek