Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 60 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّكَ فَلَا تَكُن مِّنَ ٱلۡمُمۡتَرِينَ ﴾
[آل عِمران: 60]
﴿الحق من ربك فلا تكن من الممترين﴾ [آل عِمران: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Haki isiyo na shaka kuhusu mambo ya 'Īsā ni ile iliyokujia, ewe Mtume, kutoka kwa Mola wako. Endelea kwenye yakini yako na juu ya msimamo ulionao wa kuacha uzushi. Na usiwe ni miongoni mwa wenye shaka. Katika haya pana kumtia moyo Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kumtuliza |