Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 74 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿يَخۡتَصُّ بِرَحۡمَتِهِۦ مَن يَشَآءُۗ وَٱللَّهُ ذُو ٱلۡفَضۡلِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[آل عِمران: 74]
﴿يختص برحمته من يشاء والله ذو الفضل العظيم﴾ [آل عِمران: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Anawahusisha Anaowataka katika viumbe Wake kwa kuwapa utume na kuwaongoa kwenye Sheria kamilifu kabisa. Na Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye ihsani na upaji mwingi wenye kuenea |