Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 35 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿أَمۡ أَنزَلۡنَا عَلَيۡهِمۡ سُلۡطَٰنٗا فَهُوَ يَتَكَلَّمُ بِمَا كَانُواْ بِهِۦ يُشۡرِكُونَ ﴾
[الرُّوم: 35]
﴿أم أنـزلنا عليهم سلطانا فهو يتكلم بما كانوا به يشركون﴾ [الرُّوم: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au tuliwateremshia hawa washirikina hoja yenye kutoa mwangaza na kitabu kisicho na shaka kitamke kueleza usahihi wa ushirikina wao na ukanushaji wao Mwenyezi Mungu na aya Zake |