Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 34 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿لِيَكۡفُرُواْ بِمَآ ءَاتَيۡنَٰهُمۡۚ فَتَمَتَّعُواْ فَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ﴾
[الرُّوم: 34]
﴿ليكفروا بما آتيناهم فتمتعوا فسوف تعلمون﴾ [الرُّوم: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ili wakanushe kile tulichowapa na kuwaneemesha kwacho cha kutatuliwa matatizo na kuondolewa shida. Basi stareheni, enyi washirikina, kwa neema na ukunjufu katika dunia hii, mtakijua mtakachokikuta cha adhabu na mateso |