Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 59 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿كَذَٰلِكَ يَطۡبَعُ ٱللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِ ٱلَّذِينَ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الرُّوم: 59]
﴿كذلك يطبع الله على قلوب الذين لا يعلمون﴾ [الرُّوم: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mfano wa muhuri huu, Mwenyezi Mungu Anapiga muhuri juu ya nyoyo za wasioujua uhakika wa kile unachowaletea, ewe Mtume, kutoka kwa Mwenyezi Mungu kutokana na mazingatio haya na miujiza iliyo waziwazi |