Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 6 - الرُّوم - Page - Juz 21
﴿وَعۡدَ ٱللَّهِۖ لَا يُخۡلِفُ ٱللَّهُ وَعۡدَهُۥ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَ ٱلنَّاسِ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الرُّوم: 6]
﴿وعد الله لا يخلف الله وعده ولكن أكثر الناس لا يعلمون﴾ [الرُّوم: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Amewaahidi Waumini, ahadi ya kukata isiyoenda kinyume, kuwapa ushindi Warumi juu ya Wafursi wenye kuabudu masanamu. Lakini wengi wa makafiri wa Makkah hawajui kwamba kile Alichokiahidi Mwenyezi Mungu ni kweli |