×

Wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera 30:7 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Rum ⮕ (30:7) ayat 7 in Swahili

30:7 Surah Ar-Rum ayat 7 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rum ayat 7 - الرُّوم - Page - Juz 21

﴿يَعۡلَمُونَ ظَٰهِرٗا مِّنَ ٱلۡحَيَوٰةِ ٱلدُّنۡيَا وَهُمۡ عَنِ ٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ غَٰفِلُونَ ﴾
[الرُّوم: 7]

Wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يعلمون ظاهرا من الحياة الدنيا وهم عن الآخرة هم غافلون, باللغة السواحيلية

﴿يعلمون ظاهرا من الحياة الدنيا وهم عن الآخرة هم غافلون﴾ [الرُّوم: 7]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wanayoyajua wao ni mambo yaliyofunuka wazi ya dunia na pambo lake, na wao kuhusu mambo ya Akhera na yale yanayowafaa huko wameghafilika, hawayafikirii
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek