Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 48 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿قُلۡ إِنَّ رَبِّي يَقۡذِفُ بِٱلۡحَقِّ عَلَّٰمُ ٱلۡغُيُوبِ ﴾
[سَبإ: 48]
﴿قل إن ربي يقذف بالحق علام الغيوب﴾ [سَبإ: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, umwambie anayekanusha upwekeshaji wa Mwenyezi Mungu na ujumbe wa Uislamu, «Hakika Mola wangu Anauvurumiza ubatilifu kwa hoja za ukweli, hivyo basi ukaufedhehi na ukauangamiza. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi mno wa vitu visivyoonekana, hakuna kinachofichamana Kwake chochote ardhini na mbinguni.» |