Quran with Swahili translation - Surah Saba’ ayat 49 - سَبإ - Page - Juz 22
﴿قُلۡ جَآءَ ٱلۡحَقُّ وَمَا يُبۡدِئُ ٱلۡبَٰطِلُ وَمَا يُعِيدُ ﴾
[سَبإ: 49]
﴿قل جاء الحق وما يبدئ الباطل وما يعيد﴾ [سَبإ: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Ukweli na Sheria tukufu itokayo kwa Mwenyezi Mungu umekuja, na ubatilifu umeondoka na mamlaka yake yamepotea, hivyo basi ubatilifu haukusaliwa na kitu cha kukianzisha wala kukirudisha.» |