×

Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na 35:24 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah FaTir ⮕ (35:24) ayat 24 in Swahili

35:24 Surah FaTir ayat 24 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 24 - فَاطِر - Page - Juz 22

﴿إِنَّآ أَرۡسَلۡنَٰكَ بِٱلۡحَقِّ بَشِيرٗا وَنَذِيرٗاۚ وَإِن مِّنۡ أُمَّةٍ إِلَّا خَلَا فِيهَا نَذِيرٞ ﴾
[فَاطِر: 24]

Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنا أرسلناك بالحق بشيرا ونذيرا وإن من أمة إلا خلا فيها نذير, باللغة السواحيلية

﴿إنا أرسلناك بالحق بشيرا ونذيرا وإن من أمة إلا خلا فيها نذير﴾ [فَاطِر: 24]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sisi tumekutumiliza kwa haki, nayo ni kumuamini Mwenyezi Mungu na Sheria za Dini, hali ya kuwapa bishara ya Pepo wale wenye kukuamini na wakaufuata uongofu wako kivitendo, na hali ya kuwaonya Moto wale waliokukanusha na wakakuasi. Na hakuna taifa lolote la watu isipokuwa limejiwa na muonyaji wa kuwaonya mwisho mbaya wa ukafiri wao na upotevu wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek