Quran with Swahili translation - Surah FaTir ayat 30 - فَاطِر - Page - Juz 22
﴿لِيُوَفِّيَهُمۡ أُجُورَهُمۡ وَيَزِيدَهُم مِّن فَضۡلِهِۦٓۚ إِنَّهُۥ غَفُورٞ شَكُورٞ ﴾
[فَاطِر: 30]
﴿ليوفيهم أجورهم ويزيدهم من فضله إنه غفور شكور﴾ [فَاطِر: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ili Awatimizie Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, malipo mema ya matendo yao yakiwa kamili bila kupunguzwa, na wataongezewa mema kwa fadhila Zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehefu sana wa makosa yao, ni Mwingi wa shukrani kwa mema yao, Atawalipa kwa mema hayo malipo mazuri mengi |