Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 17 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿وَمَا عَلَيۡنَآ إِلَّا ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[يسٓ: 17]
﴿وما علينا إلا البلاغ المبين﴾ [يسٓ: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na si juu yetu isipokuwa ni kufikisha ujumbe kwa uwazi, na hatuna mamlaka ya kuwafanya muongoke, kwani uongofu uko mikononi mwa Mwenyezi Mungu Peke Yake.» |