Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 21 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿ٱتَّبِعُواْ مَن لَّا يَسۡـَٔلُكُمۡ أَجۡرٗا وَهُم مُّهۡتَدُونَ ﴾
[يسٓ: 21]
﴿اتبعوا من لا يسألكم أجرا وهم مهتدون﴾ [يسٓ: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wafuateni wale wasiotaka mali kutoka kwenu kwa kufikisha Ujumbe na hali wao wako kwenye uongofu katika kile wanachowaitia cha kumuabudu Mwenyezi Mungu Peke Yake.» Katika hii kuna kueleza ubora wa mwenye kukimbilia kuamrisha mema na kukataza maovu |