Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 20 - يسٓ - Page - Juz 22
﴿وَجَآءَ مِنۡ أَقۡصَا ٱلۡمَدِينَةِ رَجُلٞ يَسۡعَىٰ قَالَ يَٰقَوۡمِ ٱتَّبِعُواْ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[يسٓ: 20]
﴿وجاء من أقصى المدينة رجل يسعى قال ياقوم اتبعوا المرسلين﴾ [يسٓ: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akaja mtu kwa haraka kutoka mahali mbali mjini (Napo ni pale ilipojulikana kwamba watu wa kijiji wameazimia kuwaua wajumbe au kuwaadhibu) akasema, «Enyi watu wangu! Wafuateni wajumbe mlioletewa kutoka kwa Mwenyezi Mungu |