×

Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi ila wao 36:46 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ya-Sin ⮕ (36:46) ayat 46 in Swahili

36:46 Surah Ya-Sin ayat 46 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 46 - يسٓ - Page - Juz 23

﴿وَمَا تَأۡتِيهِم مِّنۡ ءَايَةٖ مِّنۡ ءَايَٰتِ رَبِّهِمۡ إِلَّا كَانُواْ عَنۡهَا مُعۡرِضِينَ ﴾
[يسٓ: 46]

Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi ila wao huwa ni wenye kuipuuza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما تأتيهم من آية من آيات ربهم إلا كانوا عنها معرضين, باللغة السواحيلية

﴿وما تأتيهم من آية من آيات ربهم إلا كانوا عنها معرضين﴾ [يسٓ: 46]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na huwajii, hawa washirikina, na alama yoyote iliyo wazi kutoka kwa Mola wao, ili uwaongoze kwenye haki na uwabainishie ukweli wa Mtume, isipokuwa wanaipa mgongo na wasinufaike nayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek