Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 58 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿سَلَٰمٞ قَوۡلٗا مِّن رَّبّٖ رَّحِيمٖ ﴾
[يسٓ: 58]
﴿سلام قولا من رب رحيم﴾ [يسٓ: 58]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watakuwa na starehe nyingine kubwa kabisa nayo ni Atakaposema nao Mola wao, Mwenye kuwarehemu kwa kuwasalimia, na hapo watapata amani iliyotimia kwa kila namna |