Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 57 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿لَهُمۡ فِيهَا فَٰكِهَةٞ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ ﴾
[يسٓ: 57]
﴿لهم فيها فاكهة ولهم ما يدعون﴾ [يسٓ: 57]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wao Peponi watakuwa na starehe ya matunda yenye ladha ya kila aina, na watakuwa na kila wanalolitaka |