Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 63 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿هَٰذِهِۦ جَهَنَّمُ ٱلَّتِي كُنتُمۡ تُوعَدُونَ ﴾
[يسٓ: 63]
﴿هذه جهنم التي كنتم توعدون﴾ [يسٓ: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Huu ni moto wa Jahanamu ambao mlikuwa mkiahidiwa duniani kwa kumkufuru kwenu Mwenyezi Mungu na kukanusha kwenu Mitume Wake |