Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 62 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَلَقَدۡ أَضَلَّ مِنكُمۡ جِبِلّٗا كَثِيرًاۖ أَفَلَمۡ تَكُونُواْ تَعۡقِلُونَ ﴾
[يسٓ: 62]
﴿ولقد أضل منكم جبلا كثيرا أفلم تكونوا تعقلون﴾ [يسٓ: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Hakika Shetani amewapoteza na kuwatoa kwenye haki viumbe wengi kabla yenu. Basi kwani hamkuwa na akili, enyi washirikina, ya kuwakataza nyinyi kumfuata |