Quran with Swahili translation - Surah Ya-Sin ayat 74 - يسٓ - Page - Juz 23
﴿وَٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ ءَالِهَةٗ لَّعَلَّهُمۡ يُنصَرُونَ ﴾
[يسٓ: 74]
﴿واتخذوا من دون الله آلهة لعلهم ينصرون﴾ [يسٓ: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina waliwafanya wasiokuwa Mwenyezi Mungu kuwa ni waungu wakawa wanawaabudu, wakitarajia kuwa watawasaidia na kuwaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu |