Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 112 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَبَشَّرۡنَٰهُ بِإِسۡحَٰقَ نَبِيّٗا مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[الصَّافَات: 112]
﴿وبشرناه بإسحاق نبيا من الصالحين﴾ [الصَّافَات: 112]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukampa bishara Ibrāhīm ya mtoto wake, Isḥāq, kuwa atakuwa Nabii, miongoni mwa watu wema. Hayo yakiwa ni malipo ya uvumilivu wake na kuridhika kwake na amri ya Mola wake na utiifu wake Kwake |