Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 125 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿أَتَدۡعُونَ بَعۡلٗا وَتَذَرُونَ أَحۡسَنَ ٱلۡخَٰلِقِينَ ﴾
[الصَّافَات: 125]
﴿أتدعون بعلا وتذرون أحسن الخالقين﴾ [الصَّافَات: 125]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Vipi nyinyi mtaliabudu sanamu ambalo ni kiumbe dhaifu na mtamuacha Mzuri wa kuumba, Mwenye sifa nzuri na kamilifu kabisa |