Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 13 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَإِذَا ذُكِّرُواْ لَا يَذۡكُرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 13]
﴿وإذا ذكروا لا يذكرون﴾ [الصَّافَات: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanapokumbushwa walichokisahau au walichoghafilika nacho, hawanufaiki kwa huo ukumbusho wala hawazingatii |