Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 12 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿بَلۡ عَجِبۡتَ وَيَسۡخَرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 12]
﴿بل عجبت ويسخرون﴾ [الصَّافَات: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Bali ulistaajabu, ewe Mtume, kwa ukanushaji wao na kukataa kwao Kufufuliwa. Na la kustaajabiwa zaidi na lililo kubwa zaidi kuliko lile la kukataa kwao ni kwamba wao wanakucheza shere na kulidharau neno lako |