Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 163 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِلَّا مَنۡ هُوَ صَالِ ٱلۡجَحِيمِ ﴾
[الصَّافَات: 163]
﴿إلا من هو صال الجحيم﴾ [الصَّافَات: 163]
Abdullah Muhammad Abu Bakr isipokuwa yule Aliyemkadiria Mwenyezi Mungu aingie kwenye Moto wa Jaḥīm kwa sababu ya ukafiri wake na udhalimu wake |