Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 33 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَإِنَّهُمۡ يَوۡمَئِذٖ فِي ٱلۡعَذَابِ مُشۡتَرِكُونَ ﴾
[الصَّافَات: 33]
﴿فإنهم يومئذ في العذاب مشتركون﴾ [الصَّافَات: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wafuasi na wafuatwa watashirikiana katika adhabu Siku ya Kiyama, kama walivyoshirikiana ulimwenguni katika kumuasi Mwenyezi Mungu |