×

Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu 37:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:32) ayat 32 in Swahili

37:32 Surah As-saffat ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 32 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿فَأَغۡوَيۡنَٰكُمۡ إِنَّا كُنَّا غَٰوِينَ ﴾
[الصَّافَات: 32]

Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأغويناكم إنا كنا غاوين, باللغة السواحيلية

﴿فأغويناكم إنا كنا غاوين﴾ [الصَّافَات: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
« Ndipo tukawapoteza na njia ya Mwenyezi Mungu na ya kumuamini, kwa kuwa sisi wenyewe tulikuwa ni wapotevu kabla yenu. Na kwa hivyo tukapotea kwa sababu ya ukafiri wetu na tukawaangamiza nyinyi pamoja na sisi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek