Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 35 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّهُمۡ كَانُوٓاْ إِذَا قِيلَ لَهُمۡ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا ٱللَّهُ يَسۡتَكۡبِرُونَ ﴾
[الصَّافَات: 35]
﴿إنهم كانوا إذا قيل لهم لا إله إلا الله يستكبرون﴾ [الصَّافَات: 35]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale washirikina walikuwa duniani wakiambiwa, «Hapana mola anayepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu,» na wakaitwa kwenye mwito huo na wakaamrishwa kuyaacha yanayopingana nao, wanaufanyia kiburi na kumfanyia kiburi aliyekuja nao |