Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 91 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَرَاغَ إِلَىٰٓ ءَالِهَتِهِمۡ فَقَالَ أَلَا تَأۡكُلُونَ ﴾
[الصَّافَات: 91]
﴿فراغ إلى آلهتهم فقال ألا تأكلون﴾ [الصَّافَات: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akabeta kwa haraka kuelekea kwenye masanamu wa watu wake, akasema kwa njia ya kuwakejeli, «Si mkile chakula hiki ambacho washika mlango wenu wanawapatia |