Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 27 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَآءَ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا بَٰطِلٗاۚ ذَٰلِكَ ظَنُّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۚ فَوَيۡلٞ لِّلَّذِينَ كَفَرُواْ مِنَ ٱلنَّارِ ﴾
[صٓ: 27]
﴿وما خلقنا السماء والأرض وما بينهما باطلا ذلك ظن الذين كفروا فويل﴾ [صٓ: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hatukuumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yake kwa upuuzi na mchezo. Hiyo ndiyo dhana ya waliokufuru. Basi ole wao na Moto wa Siku ya Kiyama, kwa dhana yao ya ubatilifu na ukanushaji wao Mwenyezi Mungu |