Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 29 - صٓ - Page - Juz 23
﴿كِتَٰبٌ أَنزَلۡنَٰهُ إِلَيۡكَ مُبَٰرَكٞ لِّيَدَّبَّرُوٓاْ ءَايَٰتِهِۦ وَلِيَتَذَكَّرَ أُوْلُواْ ٱلۡأَلۡبَٰبِ ﴾
[صٓ: 29]
﴿كتاب أنـزلناه إليك مبارك ليدبروا آياته وليتذكر أولو الألباب﴾ [صٓ: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hiki ulicholetewa kwa njia ya wahyi, ewe Mtume, ni Kitabu tulichokuteremshia kilichobarikiwa, ili wafikirie juu ya aya zake na wazitumie njia zake za uongofu na ishara zake njema, na ili wapate kukumbuka watu wenye akili timamu yale Aliyowalazimisha Mwenyezi Mungu |