Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 30 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَوَهَبۡنَا لِدَاوُۥدَ سُلَيۡمَٰنَۚ نِعۡمَ ٱلۡعَبۡدُ إِنَّهُۥٓ أَوَّابٌ ﴾
[صٓ: 30]
﴿ووهبنا لداود سليمان نعم العبد إنه أواب﴾ [صٓ: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tulimtunukia Dāwūd mwanawe Sulaymān, tukamneemesha yeye (Dāwūd) kwa kumpa Sulyman, na tukamtuliza jicho lake kwake. Neema ya mja ni Sulaymān. Yeye alikuwa mwingi wa kurejea kwa Mwenyezi Mungu na kutubia Kwake |