Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 61 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالُواْ رَبَّنَا مَن قَدَّمَ لَنَا هَٰذَا فَزِدۡهُ عَذَابٗا ضِعۡفٗا فِي ٱلنَّارِ ﴾
[صٓ: 61]
﴿قالوا ربنا من قدم لنا هذا فزده عذابا ضعفا في النار﴾ [صٓ: 61]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kundi la wafuasi liendelee kusema, «Mola wetu! Yoyote yule aliyetupoteza duniani akatuepusha na uongofu, muongezee adhabu yake Motoni maradufu.» |