Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 62 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَقَالُواْ مَا لَنَا لَا نَرَىٰ رِجَالٗا كُنَّا نَعُدُّهُم مِّنَ ٱلۡأَشۡرَارِ ﴾
[صٓ: 62]
﴿وقالوا ما لنا لا نرى رجالا كنا نعدهم من الأشرار﴾ [صٓ: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watasema wale waliopita vipimo katika uasi, «Mbona hatuwaoni pamoja na sisi Motoni wale watoto ambao tulikuwa tukiwahesabu duniani kuwa ni miongoni mwa watu waovu wakorofi |