Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 64 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِنَّ ذَٰلِكَ لَحَقّٞ تَخَاصُمُ أَهۡلِ ٱلنَّارِ ﴾
[صٓ: 64]
﴿إن ذلك لحق تخاصم أهل النار﴾ [صٓ: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, hili la kujadiliana watu wa Motoni na kuteta kwao ni jambo litakalotokea bila shaka |