Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 63 - صٓ - Page - Juz 23
﴿أَتَّخَذۡنَٰهُمۡ سِخۡرِيًّا أَمۡ زَاغَتۡ عَنۡهُمُ ٱلۡأَبۡصَٰرُ ﴾
[صٓ: 63]
﴿أتخذناهم سخريا أم زاغت عنهم الأبصار﴾ [صٓ: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, kwani kule kuwadharau kwetu na kuwachezea kulikuwa ni makosa Au wao wako pamoja na sisi Motoni lakini macho yetu bado hayajawaona?» |