×

Sema: Hakika mimi ni mwonyaji tu; na hapana mungu ila Mwenyezi Mungu 38:65 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah sad ⮕ (38:65) ayat 65 in Swahili

38:65 Surah sad ayat 65 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 65 - صٓ - Page - Juz 23

﴿قُلۡ إِنَّمَآ أَنَا۠ مُنذِرٞۖ وَمَا مِنۡ إِلَٰهٍ إِلَّا ٱللَّهُ ٱلۡوَٰحِدُ ٱلۡقَهَّارُ ﴾
[صٓ: 65]

Sema: Hakika mimi ni mwonyaji tu; na hapana mungu ila Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda nguvu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل إنما أنا منذر وما من إله إلا الله الواحد القهار, باللغة السواحيلية

﴿قل إنما أنا منذر وما من إله إلا الله الواحد القهار﴾ [صٓ: 65]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, kuwaambia watu wako, «Hakika mimi ninawaonya nyinyi na adhabu ya Mwenyezi Mungu isiwashukie kwa sababu ya kumkanusha kwenu Mwenyezi Mungu, hakuna mola anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Yeye Peke Yake, Yeye Ndiye Aliyepwekeka kwa ukubwa Wake, majina Yake, sifa Zake na matendo Yake, Mwenye kutendesha nguvu Anayekilazimisha kila kitu na kukishinda
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek