Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 66 - صٓ - Page - Juz 23
﴿رَبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَيۡنَهُمَا ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡغَفَّٰرُ ﴾
[صٓ: 66]
﴿رب السموات والأرض وما بينهما العزيز الغفار﴾ [صٓ: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenye kumiliki mbingu na ardhi na vilivyoko baina yake, Aliye Mshindi katika kutesa Kwake, Mwingi wa kusamehe dhambi za aliyetubia na kurudi kutafuta radhi Zake.» |