Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 1 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿تَنزِيلُ ٱلۡكِتَٰبِ مِنَ ٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَكِيمِ ﴾
[الزُّمَر: 1]
﴿تنـزيل الكتاب من الله العزيز الحكيم﴾ [الزُّمَر: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kuteremshwa Qur’ani, Hakika ni kwamba, ni kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliye Mshindi katika uweza Wake na utesaji Wake, Mwingi wa hekima katika uendeshaji mambo Wake na hukumu Zake |