Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 12 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿وَأُمِرۡتُ لِأَنۡ أَكُونَ أَوَّلَ ٱلۡمُسۡلِمِينَ ﴾
[الزُّمَر: 12]
﴿وأمرت لأن أكون أول المسلمين﴾ [الزُّمَر: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na Ameniamrisha niwe wa kwanza kujisalimisha miongoni mwa ummah wangu, akasalimu amri Kwake kwa kumpwekesha na kumtakasia Ibada na akajiepusha na kila kisichokuwa Yeye miongoni mwa waungu |