Quran with Swahili translation - Surah Az-Zumar ayat 13 - الزُّمَر - Page - Juz 23
﴿قُلۡ إِنِّيٓ أَخَافُ إِنۡ عَصَيۡتُ رَبِّي عَذَابَ يَوۡمٍ عَظِيمٖ ﴾
[الزُّمَر: 13]
﴿قل إني أخاف إن عصيت ربي عذاب يوم عظيم﴾ [الزُّمَر: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, uwaambie watu, «Mimi ninachelea nikimuasi Mola wangu, katika kile alichoniamuru cha kumuabudu na kumtakasia katika kumtii, adhabu ya Siku hiyo ambayo kituko chake ni kikubwa |