Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 126 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿وَلِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۚ وَكَانَ ٱللَّهُ بِكُلِّ شَيۡءٖ مُّحِيطٗا ﴾
[النِّسَاء: 126]
﴿ولله ما في السموات وما في الأرض وكان الله بكل شيء محيطا﴾ [النِّسَاء: 126]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni vya Mwenyezi Mungu viumbe vyote vilivyoko ulimwenguni. Hivyo ni milki Yake, Aliyetukuka, Peke Yake. Na Mwenyezi Mungu Amekizunguka kila kitu, hakuna kitu chochote, katika mambo ya waja Wake, chenye kufichika Kwake |