Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 138 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿بَشِّرِ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ بِأَنَّ لَهُمۡ عَذَابًا أَلِيمًا ﴾
[النِّسَاء: 138]
﴿بشر المنافقين بأن لهم عذابا أليما﴾ [النِّسَاء: 138]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wape bishara, ewe Mtume, wanafiki - nao ni wale wanaodhihirisha Imani na kuficha ukafiri- kuwa wao watakuwa na adhabu yenye kuumiza |