×

Hakika walio amini, kisha wakakufuru, kisha wakaamini, kisha wakazidi ukafiri, Mwenyezi Mungu 4:137 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nisa’ ⮕ (4:137) ayat 137 in Swahili

4:137 Surah An-Nisa’ ayat 137 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 137 - النِّسَاء - Page - Juz 5

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ثُمَّ كَفَرُواْ ثُمَّ ءَامَنُواْ ثُمَّ كَفَرُواْ ثُمَّ ٱزۡدَادُواْ كُفۡرٗا لَّمۡ يَكُنِ ٱللَّهُ لِيَغۡفِرَ لَهُمۡ وَلَا لِيَهۡدِيَهُمۡ سَبِيلَۢا ﴾
[النِّسَاء: 137]

Hakika walio amini, kisha wakakufuru, kisha wakaamini, kisha wakazidi ukafiri, Mwenyezi Mungu hakuwa wa kuwaghufiria wala wa kuwaongoa njia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين آمنوا ثم كفروا ثم آمنوا ثم كفروا ثم ازدادوا كفرا, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين آمنوا ثم كفروا ثم آمنوا ثم كفروا ثم ازدادوا كفرا﴾ [النِّسَاء: 137]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale walioingia kwenye Imani, kisha wakarudi kwenye ukafiri, kisha wakarejea kwenye Imani, kisha wakarudi tena kwenye ukafiri, kisha wakavama na kuendelea kwenye ukafiri, Mwenyezi Mungu Hatakuwa ni Mwenye kuwasamehe wala kuwaonesha njia ya uongofu ambayo kwayo wataokoka na mwisho mbaya
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek