Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 156 - النِّسَاء - Page - Juz 6
﴿وَبِكُفۡرِهِمۡ وَقَوۡلِهِمۡ عَلَىٰ مَرۡيَمَ بُهۡتَٰنًا عَظِيمٗا ﴾
[النِّسَاء: 156]
﴿وبكفرهم وقولهم على مريم بهتانا عظيما﴾ [النِّسَاء: 156]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na vile vile tuliwalaani kwa sababu ya ukafiri wao na kumzulia kwao Maryam urongo kwa yale waliyomsingizia nayo ya uzinifu na hali yeye yupo mabali na hilo |