Quran with Swahili translation - Surah An-Nisa’ ayat 87 - النِّسَاء - Page - Juz 5
﴿ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَۚ لَيَجۡمَعَنَّكُمۡ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡقِيَٰمَةِ لَا رَيۡبَ فِيهِۗ وَمَنۡ أَصۡدَقُ مِنَ ٱللَّهِ حَدِيثٗا ﴾
[النِّسَاء: 87]
﴿الله لا إله إلا هو ليجمعنكم إلى يوم القيامة لا ريب فيه﴾ [النِّسَاء: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, Peke Yake, Aliyepwekeka kwa uungu wa viumbe wote, Ndiye Atakayewakusanya nyinyi Siku ya Kiyama isiyokuwa na shaka, kwa kuhesabiwa na kulipwa. Na hakuna yoyote mkweli zaidi wa maneno anayoyatolea habari kuliko Mwenyezi Mungu |